MATOKEO Ligi Kuu: Pamba na Namungo Watoka Droo

MATOKEO Ligi Kuu: Pamba na Namungo Watoka Droo


Wauaji wa Kusini, Namungo Fc wamelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya TP Lindanda, Pamba Jiji Fc katika dimba la Majaliwa, Ruangwa Lind.


FT: Namungo Fc 1-1 Pamba Jiji Fc

⚽ 90+6’ Shahame

⚽ 20’ Siwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad