Ni kweli Gör mahia wamepoteza mechi ila kuna nyakati waliwageuza Simba watoto wadogo.
Kuna Muda Simba wali switch-off nakuweka O pressure kwenye mpira.
Kama Gör wanaweza kupiga pasi 15-18 bila pressure yeyote vipi tarehe 16 dhidi ya Yanga?
Kama alivyosema Fadlu huu ni mwaka wa mafanikio…..nadhani hili atalifanyia kazi haraka sana.