Mobile

Yanga Wampiga Dongo la Wazi Simba Kupitia Jezi zao Mpya

Yanga Wampiga Dongo la Wazi Simba Kupitia Jezi zao Mpya


Yanga wamempiga dongo la wazi mtani wao Simba kwenye Jezi zao mpya (Away Kit) kwa kuweka ubunifu ambao unakumbushia jinsi Simba walivyogoma kucheza mchezo wa Derby uliokuwa umepangwa kuchezwa Machi 8, 2025.

Kwenye jezi hizo kuna maneno yanasomeka “Walisepa 8-3-25” ikiwa na maana ya tarehe ambayo simba waligoma kupeleka timu Uwanjani.

Ulikuwa umeigundua hii? 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad