Mobile

Yanga Wajitekenya, Wamefuta Barua Yao ya Kuomba Msamaha Mchango wa CCM

Yanga Wajitekenya, Wamefuta Barua Yao ya Kuomba Msamaha Mchango wa CCM


Yanga walijibu kuhusu milioni 100 kwa CCM, sasa wanacheza "katikati ya msitu", post wameshaifuta! Hii ni kama kusema, “Tumesema, lakini tumesahau". 🤷‍♂️

Wanaharakati nao wanatumia hili kama gepu zuri la kuendelea kupiga Yanga SPANA kwa @fifa !!💀

Kuna namna kama Yanga wanaenda mbele na kurudi nyuma, hawajiami kabisa kwa maamuzi wanayoyatoa!!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad