Mobile

Yanga na Simba Kucheza Mchezo wa Ngao ya Jamiii

Yanga na Simba Kucheza Mchezo wa Ngao ya Jamiii


Taarifa za kiutondoti zinaeleza kuwa Mchezo wa Ngao ya hisani utazikutanisha Simba na Yanga na sio kama ule utaratibu wa awali wa makundi.

TaariTKanuni za ngao ya jamii zimebadilishwa kuelekea msimu ujao.

Ngao itawakutanisha bingwa wa ligi kuu na bingwa wa FA, kama hayo makombe yalibebwa na timu moja basi bingwa na ligi na mshindi wa pili watacheza mechi moja ya ngao na bingwa atapatikana.

Hivyo Rasmi Yanga na Simba watacheza mechi moja ya ngao ya jamii mwaka huu.

Azam na Singida wamenyolewa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad