Team bora Imepata matokeo mazuri, Congratulation Uganda Binafsi mumefanya kilicho bora zaidi✍️
South Africa wamekosa timu ya kupambana dakika 90 wamedharau mashindano kwa kuleta Squad ya kawaida wacha mtoke tu.
THE EAST AFRICAN DREAM CAME TRUE
Tanzania ✅
Kenya ✅
Uganda ✅
Wenyeji wote wa michuano ya CHAN ndani ya robo fainali...