Meneja wa Mzize Afunguka, Yanga Wanaroho Mbaya Hawataki Kumuachia Mzize


Meneja wa Mzize Afunguka

Meneja wa Mzize Afunguka

“Niseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji.Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000.Niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi.

"Walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi. Naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira. Wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duni”

- Jasmine Razack ambaye ni Msimamizi wa Clement Mzize akizungumza na Jembe FM

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad