Mchezo kati ya Tanzania na Madagascar umemalizika kwa Tanzania kushindi mabao mawili kwa Moja, Dakika 90 za furaha kwa Tanzania , pongezi zinaanza kwa Clement Mzize , magoli yote mawili amefungwa kwa hesabu kali za kucheza maeneo sahihi hii imefanya asihitaji mguso zaidi ya mmoja kuingia kambani, baada ya Mechi Mzize aliibuka kuwa mchezaji bora katika Mchezo huo
FULL 𝐓𝐈𝐌𝐄: CHAN2024
TANZANIA 2-1 MADAGASCAR
⚽️Mzize
⚽️Mzize
⚽️Gragass