Ligi Inaanza Kwa Lawama, Simba na Yanga Kucheza 16 September 2025 Ngao ya Jamiii

Ligi Inaanza Kwa Lawama, Simba na Yanga Kucheza 16 September 2025 Ngao ya Jamiii


Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini limetoa taarifa rasmi ya Mchezo wa Ngao ya Jamii baina ya Yanga SC dhidi ya Simba Sports Club utachezwa Septemba 16, 2025.


Mechi hiyo ya Dabi ya Kariakoo mchezo wa Ngao ya Jamii utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa.


Msimu unaanza na lawama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad