Mobile

Klabu ya Yanga Sc Imemtambulisha Mshambuliajii Célestin Ecua wa Ivory Coast



Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha mshambuliajii Célestin Ecua (23) raia wa Ivory Coast kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea Zoman Fc ya Nchini kwao.

Akiwa na Zoman Fc msimu uliopita Ecua alifunga magoli 15 na kusaidia ‘assists’ mengine 12 kwenye michuano yote huku akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu (MVP)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad