Khalid AUCHO Afungka: Kama si Yanga Basi Sitacheza Tena Tanzania


Khalid AUCHO Afungka: Kama si Yanga Basi Sitacheza Tena Tanzania


 "Nashukuru Sana kwa kupewa tuzo na Yanga , kwangu Mimi ni faraja kuona wamethamini nguvu ambayo mimeitoa kwa Kipindi chote nipo Yanga"


"Kwangu Mimi Yanga ni Sehemu ya familia , nisehemu ya Maisha Yangu, wameshakuwa Ndugu zangu na daima niraturudi hapa"


"Siwezi kuonekana nikicheza Tanzania naondoka naenda mbali, naenda mbali Sana na hapa"‎.

Maneno ya aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Yanga Khalid Aucho akizungumza kwenye kipindi cga SPORSTS KNOCKOUT cha Mjini Fm.

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad