Jemedari: Yanga Hawana Malengo Wamekusanya tu Wachezaji Msimu Huu

Jemedari: Yanga Hawana Malengo Wamekusanya tu Wachezaji Msimu Huu


Mpaka sasa SIMBA imesajili na kuwatangaza wachezaji 8 ambao ni Jonathani sowah , kante, rushine,bejaber,mligo, semfuko,morice ,naby camara,ni maema pekee bado ajatangazwa jumla dirisha hili kubwa SIMBA atakuwa amesajili wachezaji 9 tu

Upande wa AZAM FC mpaka sasa wamesajili wachezaji 10 ambao ni ziotun , fofana ,kanoute,manyama, kitambala, himidi,dialo, malima, lawi ,manula,huku mmoja akiwa ajatangazwa jumla watakuwa wamesajili wachezaji 11 kwenye dirisha hili kubwa

Upande wa Tatu mpaka sasa wamesajili na kuwatangaza wachezaji 10 ambao ni chikola ,Edmund, Zimbwe jr ,Ecua, Conte, kouma, Boyeli, Doumbia, Ninju, Casemiro, huku mmoja akiwa ajatangazwa kwa ujumla dirisha hili kubwa watakuwa wamesajili wachezaji 11


Ukiangalia kwa makini utajua kuna timu imesajili kwa malengo na mahitaji ya timu alafu kuna watu wamekusanya tu wachezaji ili tu waonekane wamesajili "


By Mchambuzi Jemedari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad