Mobile

Jemedari Said Atoa Mpya: Siioni Yanga Ikivuka Makundi Ligi ya Mabingwa Msimu Huu

Jemedari Said Atoa Mpya: Siioni Yanga Ikivuka Makundi Ligi ya Mabingwa Msimu Huu

Jemedari Said Atoa Mpya: Siioni Yanga Ikivuka Makundi Ligi ya Mabingwa Msimu Huu

Mchambuzi Mkongwe wa Soka Nchini Jemedari Said Amesema kwamba Klabu ya Yanga imekuwa ikiendeshwa kihuni na Viongozi wake Jambo linaloweza kusababisha Klabu hiyo Kushindwa hata kufika hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Msimu Huu unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

"Hii Klabu kuna Muda kama Inaendeshwa kihuni Sana, Vuta Picha Mchezaji kama Maxi Nzengeli amegoma kuongeza Mkataba Mpaka Nkane aongezewe Mkataba ndio yeye Asaini, Nimepata Taarifa pia hata Chama kabla ya Kusaini yanga alitaka ahakikishiwe kuwa Mkude anaongezewa Mkataba kama ambao anapewa yeye, Hawa yanga Wana Masihara Mengi Binafsi Mimi Siioni Yanga ikivuka hata makundi Msimu Huu"

Mchambuzi-Jemedari Said

Source: Crown Sports

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad