Issue ya Mpanzu Kutopokea Simu za Simba ni Propaganda


Issue ya Mpanzu kutopokea Simu za Simba ni Propaganda,Mpanzu leo atafika Misri na Simba watapost picha zake za mazoezi muda wowote.

Mpanzu ni mali ya Simba na ameongezewa mshahara kuelekea msimu ujao.

Yanga hawamchukui Mpanzu coz nafasi za wachezaji wa kigeni zimejaa.

Hii ni propaganda ambayo imesukwa ili kutengeneza Tension,kisha badae klabu itaachi picha zake akiwa mazoezini.

Mpanzu ni Simba na Simu anapokea😄

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad