![]() |
Joseph Ngwem |
Joseph Ngwem miaka (34) Beki wa kimataifa wa Cameroon na mshindi wa Afcon mwaka 2017. Ni moja ya wachezaji ambao wapo katika kambi ya Simba Misiri na wanaendelea na Mazoezi .
Ngwem ana muda kucheza nafasi ya beki wa kushoto lakini pia anachezea nafasi ya beki wa kulia na beki wa kati (4,5).
Ngwem ana jaribu bahati yake msimbazi akiwa mchezaji huru . Baadhi ya vilabu ambavyo amepita ni Morden sport ,El Gouna na future vya Misiri progresso ya Angola na unisport Bafang ya Cameroon.