Mobile

Hans Rafael Amchamba Meneja wa Mzize "Meneja Hajui Thamani ya Mchezaji Wake"

Hans Rafael Amchamba Meneja wa Mzize "Meneja Hajui Thamani ya Mchezaji Wake"


Ameandika Haya Mchambuzi Hans Rafael:

Moja kati ya kitu cha ajabu hapa Duniani ni pamoja na Meneja wa Mzize kutojua thamani halisi ya mchezaji wake

Anawafosi Yanga wamuachie Mzize kwa $600,000 ili ajiunge na Al Masry kisa meneja ameahidiwa kulipwa agency fee kubwa.

Meneja anajali cha kwake kuliko uchumi wa klabu ambayo amemtangaza Mzize

Meneja hajui thamani ya mchezaji wake hadi anazidiwa na De Tunis ambao wameleta ofa ya $1m kama kianzio.

De Tunis wanajua ubora wa mzize ndio maana wameanza na ofa ya $1m ila meneja anataka Yanga wamuuze Mzize kwa $600,000 pale masry

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad