Mobile

Fundi Mwigine wa Bolu Kutoka South Afrika Atua Simba Kwa Mkopo

Fundi Mwigine wa Bolu Kutoka South Afrika Atua Simba Kwa Mkopo


NEO MAEMA NI MNYAMA 🦁

Akizungumza na Kituo cha SABC Sports, Steve Kapeluschnik ambae ni Wakala wa Nyota Neo Maema raia wa Afrika Kusini, alinukuliwa akisema:


“Tumekuwa na ofa kadhaa kutoka timu za hapa hapa Afrika kusini zikimuhitaji Neo, ni ofa nzuri kwa mchezaji mzuri, lakini tumeingia makubaliano ya mkopo na klabu ya Simba kwa sababu inampa Neo fursa ya kucheza timu ambayo inapambania Ubingwa wa Ligi na pia ipo Kwenye michuano ya CAF."


🗣️Steve Kapeluschnik- Wakala wa Neo Maema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad