Feisal Salum 'Fei Toto' Afunguka Haya Baada ya Ushindi wa Taifa Stars


Feisal Salum 'Fei Toto' Afunguka Haya Baada ya Ushindi wa Taifa Stars


KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Feisal Salum 'Fei Toto' amesema ni fahari kwa kikosi hicho kuanza vyema fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN), baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina Faso.

Stars imepata ushindi huo wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa michuano hiyo kwa mabao yaliyofungwa na Abdul Suleiman 'Sopu' kwa penalti na Mohamed Hussein 'Tshabalala' aliyetupia kwa kichwa.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mechi hiyo, Feisal amesema ushindi huo ni mzuri na unawafanya Watanzania wote kufurahia matokeo hayo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad