BREAKING 👇
Lionel Ateba (26) amejiunga na klabu ya Al - Shorta ya Iraq 🇮🇶 kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba Sc
Baada ya ofa nyingi mezani, Ateba ameichagua Al - Shorta.
Simba wamevuna $300K (Tshs 740m)
Ateba Atashiriki Champions League ya Asia