Taarifa Kutoka Ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kwamba Klabu hiyo imepanga Kuachana na Mabeki wao wa Pembeni , Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' Pamoja na Shomari Kapombe Kwasababu zilizo Nje ya Uwanja.
Hadi sasa Taarifa Kutoka kwenye vyanzo vya Kuaminika Zinadai kuwa nyota hao kuna Asilimia Kubwa kutokuwepo Msimu Ujao ndani ya Simba SC