HomeHabari za MichezoMtoto wa Yanga Denis Nkane Aongezewa Miaka Miwili Yanga.... Mtoto wa Yanga Denis Nkane Aongezewa Miaka Miwili Yanga.... 0 Soka Tanzania July 25, 2025 Kiungo mshambuliaji/winga Denis Nkane amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga mpaka mwaka 2027,Yanga wanaendelea kuwa nae baada ya kuendelea kuonesha ubora wake uwanja wa mazoezi, hivyo kuendelea kuboresha kikosi chao zaidi. Tags Denis Nkane Habari za Michezo Newer Older