Mchambuzi: Aziz K Hawezi Kurudi Tena Yanga...



MCHAMBUZI wa michezo @princendosi17 amesema kuwa "Stephane Aziz Ki amejiunga moja kwa moja na Wydad Casablanca ya nchini Morocco 🇲🇦"

"Klabu ya Yanga SC imethibitisha kukamilika kwa dili la kiungo wao nyota, Stephane Aziz Ki, kujiunga rasmi na Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa kudumu"

"Awali, Aziz alikuwa amejiunga na Wydad kwa mkopo uliokuwa na kipengele cha kununuliwa kabisa kabla ya tarehe 10 Julai 2025. Baada ya mazungumzo na sintofahamu kidogo, leo hii Wydad wametuma barua rasmi kwa Yanga kuthibitisha kuamsha kipengele hicho cha ununuzi wa kudumu"

"Yanga SC imekubali maombi hayo na kufanikisha mauzo ya Aziz kwa kiasi kinachoripotiwa kuwa Shilingi bilioni 1.7, Kwa sasa, Stephane Aziz Ki ni mchezaji halali wa Wydad Casablanca. Mchakato wote wa uhamisho umekamilika rasmi"


.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad