JUST IN: Klabu ya Singida Black Stars imewasiliana rasmi na Miguel Gamondi kwa nia ya kumteua kuwa kocha wao mkuu kwa msimu ujao.
Mazungumzo tayari yameanza — na kuna uwezekano mkubwa Gamondi akarejea Tanzania, kufuatia kipindi chake cha awali alipokuwa na Yanga SC.
Taarifa zaidi zitafuata kadri zinavyotufikia 👀