𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦, Klabu ya CR
Belouizdad imefanya mazungumzo na Pacome Zouzoua kwaajili ya kujiunga nao nchini Algeria, naelezwa kuwa Sead Ramovic ndiye aliependekeza klabu yake kumsaini Pacome Zouzoua kwaajili ya msimu wa 2025-2026.
CR Belouizdad imependekeza kumpa Pacome Zouzoua mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine endapo atafanya vizuri kwenye kikosi chao, mpaka sasa Pacome Zouzoua hajasaini kandarasi hiyo bali anaendelea kufikiri kwa kina kuhusu ofa kubwa ambayo amepokea kutoka Algeria.