Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Denis Nkane ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Mabingwa hao wa Tanzania. Mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote kati yake na Yanga juu ya kuongeza mkataba mpya.
BREAKING: Denis Nkane Yupo Huru Kwa Sasa....
0
July 13, 2025