1.Muhsin Malima ___ kutoka Zed FC ya Misri
2.Aish Manula_____kutoka Simba SC
3.Florent Ibenge___kutoka Al Hilal ya Sudan
4.Lameck Lawi_____kutoka Coastal Union
Kwenye saini hizi nne Azam imeboresha maeneo matatu , safu ya ulinzi kwa saini mbili , eneo la kiungo wa juu kwa saini moja bila kusahau mbeba maono kwenye benchi la ufundi
Usajili mzuri so far