Skudu Makudubela Yanga Walishindwa Mtumia Vizuri, Huko Alipo Anakiwasha Hatari

Skudu Makudubela Yanga Walishindwa Mtumia Vizuri, Huko Alipo Anakiwasha Hatari


NIMEARIFIWA hapa taarifa kutokea nchini Congo (kinshasa), nimeambiwa kuwa yule mchezaji aliekua anacheza kwenu Tanzania huku amekua kitu cha hajabu na hatukutegemea kuona hilo, Skudu Makudubela aliefeli kwenye klabu ya Yanga Sc amekua tishio kwenye ligi ya Congo, hakuna mlinzi yeyote wa timu pinzani anaetaka kukutana nae.
.
Mpaka sasa Skudu Makudubela kwenye mechi zake Sita [6] alizocheza amefunga Mabao kumi [10] na Assist nne [4], ni wazi kabisa wachezaji wengi wakifika Bongo kuna changamoto wanakumbana nazo na mara nyingine hawasemi, turudi nyuma kabisa kwa Fiston Mayele ilifikia hatua hawezi kufunga magoli, ilimlazimu atafute njia maalumu akamfuata Mwamposa baada ya kuombewa ilikuwa Historia kwa Mayele.
.
Fiston Mayele baada ya kuombewa alianza kufunga mabao ikapelekea kuonekana na timu nyingi za nje baadae akasajiliwa Pyramids kutokea nchini Misri baada ya hivyo alikumbuka fadhila na maombi mazito aliyofanyiwa na Mwamposa, alirudi Tanzania na kumkabidhi jezi mtume Mwamposa na mpaka sasa Fiston Mayele ndie mshambuliaji tishio zaidi kwenye ligi ya MISRI 🇪🇬. 
.
Prince Dube pamoja na Lionel Ateba mara baada ya kuombewa walianza kufunga magoli na changamoto za kukosa nafasi za wazi ziliisha kabisa, nabaki najiuliza ni nani anaeloga wachezaji wakishafika Bongo????

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad