NATHIBITISHA - Taarifa Kutika Nchini Kenya Zimethibitisha kuwa Kiungo Mohammed Bajaber amekubali kujiunga na klabu ya Azam ya Tanzania,Mohammed Bajaber wamesha kubaliana Kujiunga na Klab ya Azam ili kurithi nafasi ya Kiungo wa Feisal Salum ambaye anarejea