Mudathir Yahya Achaguliwa Mchezaji BORA Yanga Ikiingia Nusu Fainali Kombe la Muungano

Mudathir Yahya Achaguliwa Mchezaji BORA Yanga Ikiingia Nusu Fainali Kombe la Muungano


WANANCHI, Young Africans Sc wamefuzu kwenda nusu fainali ya kombe la Muungano 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya KVZ Fc ya Zanzibar katika uwanja wa Gombani, Pemba Zanzibar kwenye mchezo wa robo fainali uliofanyika leo Aprili 26, 2025.


FT: KVZ 0-2 Yanga

⚽ 28’ Aziz Ki

⚽ 88’ Nkane


Kiungo wa Young Africans Sc, Mudathir Yahya amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo huo na kuzawadiwa shilingi 200,000/ kutoka City Institute of Health Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad