Mayele Atupia Mbili Aisaidia Pyramids Kutinga Fainali Ligi ya Mabingwa

Mayele Atupia Mbili Aisaidia Pyramids Kutinga Fainali Ligi ya Mabingwa


Fiston Kalala Mayele amefunga magoli mawili na kuisaidia Pyramids kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Orlando Pirates katika dimba la Juni 30, Cairo.

Fainali ya Wasauzi tupu imekataa, Mafarao, Pyramids wameifuata Mamelodi Sundowns kwenye fainali ya CAFCL.

FT: Pyramids 🇪🇬 3-2 🇿🇦 Orlando Pirates (Agg. 3-2)
⚽ 45+1’ Mayele
⚽ 57’ Sobhi
⚽ 84’ Mayele
⚽ 41’ Mofokeng
⚽ 52’ Nkota

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad