Mobile

Mambo Kadhaa Waliyo Ahidi Kampuni ya Jayrutty Kwa Simba Kwenye Mkataba wa Jezi

Mambo Kadhaa Waliyo Ahidi Kampuni ya Jayrutty Kwa Simba Kwenye Mkataba wa Jezi


WANAANZA SIMBA SC WENGINE WANAFUATA "MAMBO KADHAA WALIYO AHIDI KAMPUNI YA JAYRUTTY KWA SIMBA KWENYE MKATABA WAKE

Kuna gawiwo la 5.6 B kila mwaka na Ongezeko la 10% kwa kila mwaka.

FAIDA ZA KIMKATABA.

1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12).

2. Gari la IRIZAR .

3. Media production.

4. Ujenzi wa Ofisi Mpya

5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa)

6. Pre seasons sponsorship

7. Medica room

8. Simba Day ( pesa itatolewa cash m100)

9. Motisha kwa wachezaji ( M470 cash)

10. Jezi za brand kubwa dunia


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad