Mobile

IMEFICHUKA...Yanga Wampa Offer Fei Toto Sh 750M, Mshahara kwa Mwezi Milioni 40

Fei Toto


Transfer News Live: imefichuka Yanga wameofa tsh 750m (sign-on fee) na mkataba wa miaka miwili kwa Fei Toto,lakini pia wameofa mshahara wa tsh 40m kwa mwezi.

Yanga wanapata kiburi kwani wataingiza pesa ndefu kupitia mauzo ya Aziz Ki.

Yanga wako serious wanahitaji Saini ya Fei Toto✍️

Ofa ya mwisho ya Simba ilikuwa ni tsh 600m (sign-on fee) walimwambia Fei atalipwa tsh 400m kwenye msimu wake wa kwanza na tsh 200m kwenye msimu wake wa pili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad