George Ambangile: Itafutwe Suluhisho Lolote Dabi ya Yanga na Simba Ichezwe

George Ambangile: Itafutwe Suluhisho Lolote Dabi ya Yanga na Simba Ichezwe

George Ambangile anasema itakuwa ni busara sana kwa wenye mamlaka kutafuta suluhu itayopelekea mechi ya Kariakoo Derby kati ya Simba na Yanga kuchezwa ili Timu hizo zikamilishe mechi 30 kama timu nyengine. ukisema wapewe sare kila mtu point moja haita kuwa sawa kikanuni......lazima bodi ya ligi itafute muafaka mechi ya simba na Yanga ichezwe

Yapi maoni yako kuhusu hili?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad