Mobile

Camara Kaibeba Simba Leo, Utulivu na Kujiamini Anapokuwa Kazini


Moussa Pinpin Camara anautulivu, umakini na kujiamini anapokuwa kazini kwake sio golikia wa kawaida hata kidgo kwenye michuano hii mikubwa ya CAF

Leo alikuwa na kiwango kizuri kulingana na namna alivyokuwa anaukontroo mchezo kwa kufanya timu yake iwe na utulivu pale walipokuwa wanashambuliwa..

Moussa Pipin Camara ndyo 'Quality' ya Simba sc hii

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad