Shirikisho la mpira duniani FIFA imetoa viwango vya FIFA vya mwezi Oktoba 2024, huku Tembo wa Afrika Ivory Coast hawapo tena kwenye 5 Bora barani Afrika.
Afrika inaongozwa na Morocco, ambayo inashikilia nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Simba wa Senegal wa Teranga, Mafarao wa Misri, na Super Eagles wa Nigeria.Tanzania ikiwa nafasi ya 27 kwenye orodha hiyo.
Viwango vya FIFA barani Afrika mwezi Oktoba 2024;
1. Morocco 🇲🇦 (13)
2. Senegal 🇸🇳 (20)
3. Egypt 🇪🇬 (30)
4. Nigeria 🇳🇬 (36)
5. Algeria 🇩🇿 (37)
6. Ivory Coast 🇨🇮 (40)
7. Tunisia 🇹🇳 (47)
8. Cameroon 🇨🇲 (49)
9. Mali 🇲🇱 (50)
10. DR Congo 🇨🇩 (57)