Ameandika @hamisikabwesports ya kwamba
"Tuwekeze kweli ili tufukie mafanikio,Nyie Endeleeni kutudharau Wachambuzi na kujifanya nyie ndio mnajua kila kitu,Eti kisa ulikuwa mchezaji wa Zamani au umeenda kusoma kozi ya Ukocha kidogo tu.
Yapo mengi Mazuri tunazungumza na kuandika ila mnayaona na kuyachukulia poa."