TP Mazembe yashitakia kwa "kumteka nyara" Mshambuliaji wake

 

TP Mazembe yashitakia kwa "kumteka nyara" Mshambuliaji wake

TP Mazembe yashitakiwa FIFA kwa ‘kumteka nyara’ mshambuliaji Fily Traore raia wa Mali.


Traore alishinda kesi dhidi ya TP Mazembe ambao walikuwa wanamzuia asijiunge na klabu ya Al Swehli ameishitaki tena klabu hiyo FIFA huku akidai analazimishwa kufanya mazoezi na kucheza baadhi mechi ilhali dhamira yake ni kuondoka.


Traore anadai kuwa Tp Mazembe imewatuma wahuni kumpora Passport na kumlazimisha kucheza kinyume na mapenzi yake

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad