TETESI: MCHEZAJI MABULULU KUCHEZA TANZANIA, HANA RAHA AL AHLY TRIPOLI

 

TETESI: MCHEZAJI MABULULU KUCHEZA TANZANIA, HANA RAHA AL AHLY TRIPOLI

"Cristovao Paciencia Mabululu hana furaha na anataka kuondoka Al ahly Tripoli .. Inaelezwa kwamba kuna timu moja ya Kariakoo imetuma ofa na kama watafikia kiwango ambacho anataka atajiunga na hiyo timu ingawa haijawekwa wazi ni timu gani inamhitaji katia Simba na Yanga" Anasema Alex Ngereza.

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad