Majeraha Yawaondoa Watatu England

 

Majeraha Yawaondoa Watatu England

Kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England kwa ajili ya michezo miwili ya UEFA Nations League dhidi ya Ugiriki na Finland kutokana na majeraha.


Kwa mujibu wa taarifa ya timu ya taifa ya England, Mainoo ataungana na Morgan Gibbs-White na Ezri Konsa kuwa nje ya mapumziko ya kimataifa ya Oktoba ambao watakosekana kutokana na majeraha.


Watatu hao wamepata majeraha hayo wakiwa kwenye majukumu ya vilabu vyao Mainoo (Man United), Morgan Gibbs White (Nottingham Forest) na


Mainoo anakuwa mchezaji wa tatu wa Manchester United kukosekana kwenye mapumziko ya kimataifa ya Oktoba kutokana na majeraha akiungana na Alejandro Garnacho (Argentina) na Noussair Mazraoui (Morocco)


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad