Huyu hapa Pilato wa Dabi ya Kariakoo
Ramadhan Kayoko (DSM) ndiye mwamuzi atakayechezesha mechi ya Kariakoo Derby siku ya kesho Oktoba 19 kati ya Simba dhidi ya Yanga.
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo.