Yanga itashinda Jumamosi Insha'Allah.
“Muhimu tusijiamini kupita kiasi ,wenzetu wana hasira na sisi na ukitazama kwa jicho pevu ni kama wamejipanga sana kwa hiyo derby!!
“Tunachojivunia Wananchi ni Quality za Wachezaji wetu ,lakini hilo peke yake halitupi guarantee ya kushinda kwenye aina hizi za mechi.
“Mungu akipenda nitakuwa kule majukwaa ya Popular wanapokaa Wanachama na Washabiki, kuhanikiza ushindi kwa Wachezaji wetu🙏🙏.”
Ameandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram.