Licha ya uwanja wa SOKOINE kuwa si rafiki sana katika game ya TZ Prisons dhidi ya Simba lakini Fabrice Ngoma alikuwa anapiga pasi za hali ya juu sana ( Clean pass ) zinazovunja mstari wa kiungo na ulinzi wa timu pinzani “ Between the lines “
Backup nzuri sana kwa kikosi aisee , alikuwa akipiga pasi nzuri sana kwa Kibu Denis , Ladack Chasambi na Lionel Ateba ( Zinafika kwa usahihi sana utafikiri hajacheza mechi kadhaa aisee : Bonge moja la kiungo