YANGA YAFUNGUKA SABABU ZA KUPATA USHINDI MDOGO KENGOLD

 


Ofisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema wachezaji wao wamekuwa wakipata shida kucheza katika Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kutokana na ubovu uliopo katika pitch.


“Hii ni changamoto ambayo inafahamika misimu na misimu si uwanja mzuri na rafiki kwa wachezaji ambao wanatumia ila kikubwa tumeondoka na alama tatu," amesema Kamwe.


Yanga jana ulipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ken Gold ya mjini Mbeya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad