List ya Wachezaji Watano wa Yanga Waliotajwa Kuwavutia Wasouth Afrika

List ya Wachezaji Watano wa Yanga Waliotajwa Kuwavutia Wasouth Afrika

Yanga SC walisimama imara dhidi ya Mamelodi Sundowns katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini wakapoteza kwa mikwaju ya penalti. Licha ya kushindwa kusonga mbele, lakini wachezaji kadhaa wa @yangasc walionyesha kiwango bora zaidi, wakivutia vilabu vya DStv Premiership.


Kwa mujibu FARPost, jukwaa la habari za michezo la mtandaoni la Afrika Kusini, wamewataja nyota watano wa Wananchi ambao wanaweza kuvivutia zaidi vilabu vya Afrika Kusini na pengine wakasajiliwa huko msimu ujao;


1. Djigui Diarra 🇲🇱 (Golikipa)

2. Stephane Aziz Ki 🇧🇫 (Kiungo mshambuliaji)

3. Ibrahim Hamad 🇹🇿 (Beki wa Kati)

4. Maxi Nzengeli 🇨🇩 (Kiungo mshambuliaji)

5. Yahya Mudathir 🇹🇿 (Kiungo)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.