BREAKING: Yanga Wamtangaza Kibabage Mchezaji Mpya Waliomsajili Leo

 

Nickson Kibabage

Dakika chache zilizopita Yanga wametambulisha usajili wao wa kwanza kuelekea msimu wa 2023/24 .

Anaweza akacheza beki au hata winga akishambulia kwa pembeni, Nickson Kibabage amechagua kwenda klabu ya makombe na medali

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.