BREAKING: Nabi apigwa Chini Kaizer Chiefs, Timu yakabidhiwa kwa huyu

 

Nabi apigwa Chini Kaizer Chiefs, Timu yakabidhiwa kwa huyu

Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini imemteua Molefi Ntseki kuwa kocha Mkuu wa klabu hiyo.

Kaizer Chiefs ilikuwa ikihusishwa kumtaka aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nsreddine Nabi.

Kwa utambulisho huo wa Molefi Ntseki kuwa Kocha wa Kaizer ni dhahiri kuwa Kocha Nabi bado yupo sokoni.

Swali ni je Nabi atarudi Bongo? itakuwa Klabu gani? Bashiri

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad