ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking)

 

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)


ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking)

Best Football Clubs In Africa, 2025 CAF Club Ranking)

CAF Club Rankings 2025 | The 5-year CAF rankings system is used by the Confederation of African Football (CAF) to determine the number of clubs each member association can enter in its football competitions; the CAF Champions League and the CAF Confederation Cup.

Currently, the top 12 associations can enter two teams in each of the two club competitions, while the remaining associations have one team in each competition/CAF Club Rankings 2025.

CAF approved its basic criteria based on the criteria used in the selection of the CAF Clubs of the 20th Century in 2000 with the awarding of points in 2003. This was changed in 2005 with the addition of a criterion to reward clubs that reach the semi-finals of the FIFA Club World Cup.

This method has also been used to produce an all-time ranking for CAF clubs, adding up the points that would have been awarded to each club based on their results since 1965/CAF Club Rankings 2025.For the ranking system, only results since 1998 have been taken into account, with the CAF Super Cup and FIFA Club World Cup being removed from the system since 2011. The table below shows the years in which the competitions were held:

Viwango vya Ubora Barani Africa CAF Club Ranking 2025

1 Al Ahly
2 Mamelodi Sundowns
3 Espérance de Tunis
4 Simba 
5 Zamalek
6 Wydad AC
7 Pyramids
8 USM Alger
9 RS Berkane
10 CR Belouizdad
11 Young Africans
12 Al-Hilal
13 ASEC Mimosas
14 TP Mazembe
15 Orlando Pirates
16 Raja CA
17 Petro de Luanda
18 ASFAR Rabat
19 Mouloudia Algiers
20 Sagrada Esperança

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapa sijaelewa sasa maana wanasema yanga ni ya Tatu emu niambie wadau wa soka hiii imekaaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga ndo kaingia robo kwa mara ya kwanza akijikusanyia point 15 mwaka jana alifika fainal akajipatia point 15 ila kabla alikuwa na point 0.5 so jumla ya point alizo kusanya kwa ujumla ni point 30.5 >31

      Delete
    2. We amini tu hivyo hivyo maana hakuna jinsi.

      Delete
  2. faresi chiduo

    ReplyDelete
  3. Yanga wanacheza kweli mpira ila kuipata namba kama ya simba huko caf wasifikiri ni kumfunga simba pekee wapambane na hao wa juu hapo

    ReplyDelete
  4. Iliyowapa nafasi ya tatu ni takwimu za mchongo

    ReplyDelete
  5. Yanga kama ali kamwe anawadanganyaga.sana..na nyi mnajaaa..kiboya boya..... Bado sana hata ishirin bora bado..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata kusoma inaonekana hujuii

      Delete
    2. We kwer unafatilia kwer unasema ishirin Bora bado unaangalia msimamo au unacoment tu ili uonekane umecomment

      Delete
  6. Yaan hapo yangu bado Sana yaaan

    ReplyDelete
  7. Tatizo la wa Bongo wengi wameanza kupenda team kabla ya mpira Viwango hauwezi kupanda kisa tu umecheza fainali ya shirikisho tena msimu mmoja tu

    ReplyDelete
  8. Nyie Makolo Mbona mnacho ga Sana Kwani historia si uwekwa ili ivunjwe subirini Safari bado

    ReplyDelete
  9. Hongereni ila nasi tutafika tyu kama hizo point mmepata Kwa miaka mitano lakini uone yanga kavuna hizo 31 Kwa miaka miwili Kwa hiyo kila kitu kinawezekana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wakati simba anavuna hizo pointi hiyo miaka mitano yanga walikuwa wapi?

      Delete
    2. Ni kweli ila kumbuka sababu iliyofanya mfike hapo kwa haraka na kiwaacha wengi chini ni kutokana na wengi kua na point zilizoumana au kupishana kidogo sana.

      Mfano; Hapo ni ngumu sana kwa Simba kufika nafasi ya 4 lakini ni rahisi sana kwa Yanga kufika nafasi za 10 bora kwa sababu ile ile iliyowapandisha walipo sasa.

      Delete
  10. Muhimu kuchukua kikombe bs ay mengin yana ingelek

    ReplyDelete
  11. Mi naona makolo wanawashwa wakati mwisho wao robo mhhh yanga final team weee

    ReplyDelete
  12. Hakika Simba anapambania nafas

    ReplyDelete
  13. Jamaan naomba msaad yanga ..mwisho wa msimu..alikuwa na pwent..21....simba..35...sasa wote wapo robo...mbona yanga kapewa 10....simba kapewa 4..hii inakaaje

    ReplyDelete
  14. Jamaaaniieeeh yanga n mbwembwe 2 mpira bado xana kumfikia simba alipo sio rahisi kama mnavyofikir

    ReplyDelete
  15. Inatakiwa wadhulumiwee sanaa ndio watafika hukuu kamaaa sisi tulivyoo fanywaa mpkaa tunaona kawaidaa sasa jana wamezimaa VAR tumepata penalt wamepetaa lakinii wao tumegongana vichwa etii penatii

    ReplyDelete
  16. Wenzetu wanajua kulalamika sisi hatujazoe hivyo Simba Tim kubwa ko Amin Hilo yanga pambna mtafka ila sio Kwa halaka

    ReplyDelete
  17. Mwakan Simba yamoto

    ReplyDelete
  18. Naomba yanga ifuzu hatua ya makundi alafu ipangiwe na mamelod

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad