ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking)
Best Football Clubs In Africa, 2025 CAF Club Ranking)
CAF Club Rankings 2025 | The 5-year CAF rankings system is used by the Confederation of African Football (CAF) to determine the number of clubs each member association can enter in its football competitions; the CAF Champions League and the CAF Confederation Cup.
Currently, the top 12 associations can enter two teams in each of the two club competitions, while the remaining associations have one team in each competition/CAF Club Rankings 2025.
CAF approved its basic criteria based on the criteria used in the selection of the CAF Clubs of the 20th Century in 2000 with the awarding of points in 2003. This was changed in 2005 with the addition of a criterion to reward clubs that reach the semi-finals of the FIFA Club World Cup.
This method has also been used to produce an all-time ranking for CAF clubs, adding up the points that would have been awarded to each club based on their results since 1965/CAF Club Rankings 2025.For the ranking system, only results since 1998 have been taken into account, with the CAF Super Cup and FIFA Club World Cup being removed from the system since 2011. The table below shows the years in which the competitions were held:
Viwango vya Ubora Barani Africa CAF Club Ranking 2025
Hapa sijaelewa sasa maana wanasema yanga ni ya Tatu emu niambie wadau wa soka hiii imekaaje
ReplyDeleteYanga ndo kaingia robo kwa mara ya kwanza akijikusanyia point 15 mwaka jana alifika fainal akajipatia point 15 ila kabla alikuwa na point 0.5 so jumla ya point alizo kusanya kwa ujumla ni point 30.5 >31
DeleteWe amini tu hivyo hivyo maana hakuna jinsi.
Deletefaresi chiduo
ReplyDeleteYanga wanacheza kweli mpira ila kuipata namba kama ya simba huko caf wasifikiri ni kumfunga simba pekee wapambane na hao wa juu hapo
ReplyDeleteIliyowapa nafasi ya tatu ni takwimu za mchongo
ReplyDeleteYanga kama ali kamwe anawadanganyaga.sana..na nyi mnajaaa..kiboya boya..... Bado sana hata ishirin bora bado..
ReplyDeleteHata kusoma inaonekana hujuii
DeleteWe kwer unafatilia kwer unasema ishirin Bora bado unaangalia msimamo au unacoment tu ili uonekane umecomment
DeleteYaan hapo yangu bado Sana yaaan
ReplyDeleteTatizo la wa Bongo wengi wameanza kupenda team kabla ya mpira Viwango hauwezi kupanda kisa tu umecheza fainali ya shirikisho tena msimu mmoja tu
ReplyDeleteNyie Makolo Mbona mnacho ga Sana Kwani historia si uwekwa ili ivunjwe subirini Safari bado
ReplyDeleteHongereni ila nasi tutafika tyu kama hizo point mmepata Kwa miaka mitano lakini uone yanga kavuna hizo 31 Kwa miaka miwili Kwa hiyo kila kitu kinawezekana
ReplyDeleteWakati simba anavuna hizo pointi hiyo miaka mitano yanga walikuwa wapi?
DeleteNi kweli ila kumbuka sababu iliyofanya mfike hapo kwa haraka na kiwaacha wengi chini ni kutokana na wengi kua na point zilizoumana au kupishana kidogo sana.
DeleteMfano; Hapo ni ngumu sana kwa Simba kufika nafasi ya 4 lakini ni rahisi sana kwa Yanga kufika nafasi za 10 bora kwa sababu ile ile iliyowapandisha walipo sasa.
Muhimu kuchukua kikombe bs ay mengin yana ingelek
ReplyDeleteMi naona makolo wanawashwa wakati mwisho wao robo mhhh yanga final team weee
ReplyDeleteHakika Simba anapambania nafas
ReplyDeleteJamaan naomba msaad yanga ..mwisho wa msimu..alikuwa na pwent..21....simba..35...sasa wote wapo robo...mbona yanga kapewa 10....simba kapewa 4..hii inakaaje
ReplyDeleteGood simba
ReplyDeleteJamaaaniieeeh yanga n mbwembwe 2 mpira bado xana kumfikia simba alipo sio rahisi kama mnavyofikir
ReplyDeleteInatakiwa wadhulumiwee sanaa ndio watafika hukuu kamaaa sisi tulivyoo fanywaa mpkaa tunaona kawaidaa sasa jana wamezimaa VAR tumepata penalt wamepetaa lakinii wao tumegongana vichwa etii penatii
ReplyDeleteWenzetu wanajua kulalamika sisi hatujazoe hivyo Simba Tim kubwa ko Amin Hilo yanga pambna mtafka ila sio Kwa halaka
ReplyDeleteMwakan Simba yamoto
ReplyDeleteNaomba yanga ifuzu hatua ya makundi alafu ipangiwe na mamelod
ReplyDelete