Mzize Ndiye Mchezaji Mdogo Zaidi Michuano ya CHAN

Mzize Ndiye Mchezaji Mdogo Zaidi Michuano ya CHAN


Miongoni mwa masimulizi ya kuvutia kuelekea robo fainali ya CHAN 2024 ni safari ya kijana wetu, Clement Mzize, mshambuliaji hatari mwenye umri wa miaka 21 (alizaliwa mwaka 2004), ambaye kwa sasa anachukuliwa kama straika bora mzawa tuliyenaye. Mzize anakwenda kuandika historia kwa kucheza mashindano makubwa kwa mara ya kwanza akiwa na timu ya taifa.

CHAN 2024 hii tunaihitaji, tunaweza, na tunabeba! Kazi iliyobaki sasa ni kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kuishangilia Taifa Stars, kuwapa wachezaji wetu hamasa na nguvu ya ziada wanapomwaga jasho uwanjani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad