BACCA Ametengeneza Ukuta Mgumu, ni Mwamba Sana

BACCA Ametengeneza Ukuta Mgumu, ni Mwamba Sana


Mechi Tanzania Vs Madagascar

"Safu bora ya ushambuliaji inakupa ushindi wa mechi ila safu bora ya ulinzi inakupa makombe"

"Kwa kifupi Bacca ni maana halisi ya “The Rock” pale nyuma amepafanya kuwa imara sana,ametengeneza ukuta mgumu sana ambao hata maji yanapata shida kupenya"

"Jamaa ana kasi,fujo na kubwa zaidi ni dominant hewani….ni ngumu kuuvunja ukuta wa Bacca"

By Hans Rafael

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad